Jinsi ya kuweka ‘read more’ au ‘endelea>>’ kwenye blogu. Method 3
Posted: February 3, 2009 at 11:52 pm | Tags: archive, fullpost, history, kiswahili, most-read, nukta77-com, related, success-stories, training, Videos, windowshapa (bofya). Kama kawaida, ZINGATIA: Kabla ya kufanya mabadiliko yoyote kwenye html yako, hakikisha una-back up template yako ili ikitokea jambo limeharibika, usipoteze posti zako na settings zako. Kufanya hivyo ni rahisi, wakati umesha-login, ukabofya ‘layout’ halafu ‘Edit HTML’ utaona maandishi yaliyoandikwa, “Download Full Template” (tizama picha).

More:
Jinsi ya kuweka ‘read more’ au ‘endelea>>’ kwenye blogu. Method 3